Hesabu 7:1 BHN

1 Siku Mose alipomaliza kulisimamisha hema takatifu, kulimiminia mafuta na kuliweka wakfu pamoja na vyombo vyake vyote, kuimiminia mafuta na kuiweka wakfu madhabahu na vyombo vyake vyote,

Kusoma sura kamili Hesabu 7

Mtazamo Hesabu 7:1 katika mazingira