Hesabu 7:17 BHN

17 na fahali wawili, kondoo madume watano, beberu watano na wanakondoo madume watano wa mwaka mmoja kwa ajili ya tambiko ya sadaka za amani. Hiyo ndiyo iliyokuwa sadaka ya Nashoni mwana wa Aminadabu.

Kusoma sura kamili Hesabu 7

Mtazamo Hesabu 7:17 katika mazingira