Hesabu 7:47 BHN

47 na mafahali wawili, beberu watano, na wanakondoo madume watano wa mwaka mmoja kwa ajili ya tambiko ya sadaka za amani. Hiyo ndiyo iliyokuwa sadaka ya Eliasafu mwana wa Deuli.

Kusoma sura kamili Hesabu 7

Mtazamo Hesabu 7:47 katika mazingira