Hesabu 7:61 BHN

61 Sadaka yake ilikuwa: Sahani moja ya fedha ya kilo moja u nusu na bakuli moja la fedha la gramu 800, kulingana na vipimo vya hema takatifu, sahani na bakuli vilikuwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kwa ajili ya sadaka ya nafaka;

Kusoma sura kamili Hesabu 7

Mtazamo Hesabu 7:61 katika mazingira