Hesabu 7:65 BHN

65 fahali wawili, kondoo madume watano, beberu watano na wanakondoo madume watano wa mwaka mmoja kwa ajili ya tambiko ya sadaka ya amani. Hiyo ndiyo iliyokuwa sadaka ya Abidani mwana wa Gideoni.

Kusoma sura kamili Hesabu 7

Mtazamo Hesabu 7:65 katika mazingira