Hesabu 7:67 BHN

67 Sadaka yake ilikuwa: Sahani moja ya fedha ya kilo moja u nusu na bakuli moja la fedha la gramu 800, kadiri ya vipimo vya hema takatifu; sahani na bakuli vilikuwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kwa ajili ya sadaka ya nafaka;

Kusoma sura kamili Hesabu 7

Mtazamo Hesabu 7:67 katika mazingira