Hesabu 7:73 BHN

73 Sadaka yake ilikuwa: Sahani ya fedha ya kilo moja u nusu na bakuli moja la fedha la gramu 800 kadiri ya vipimo vya hema takatifu vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kwa ajili ya sadaka ya nafaka;

Kusoma sura kamili Hesabu 7

Mtazamo Hesabu 7:73 katika mazingira