Hesabu 7:77 BHN

77 fahali wawili, kondoo madume watano, beberu watano na wanakondoo wa mwaka mmoja watano kwa ajili ya kutoa tambiko ya sadaka ya amani. Hiyo ndiyo iliyokuwa sadaka ya Pagieli mwana wa Okrani.

Kusoma sura kamili Hesabu 7

Mtazamo Hesabu 7:77 katika mazingira