Hesabu 7:79 BHN

79 Sadaka yake ilikuwa: Sahani moja ya fedha ya kilo moja u nusu na bakuli la fedha la gramu 800 kadiri ya vipimo vya hema takatifu; sahani na bakuli vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kwa ajili ya sadaka ya nafaka;

Kusoma sura kamili Hesabu 7

Mtazamo Hesabu 7:79 katika mazingira