Hesabu 7:86 BHN

86 Vile visahani vya dhahabu kumi na viwili vyenye kujaa ubani, kila kimoja kikiwa na uzito wa gramu 110 kadiri ya vipimo vya hema takatifu vilikuwa na jumla ya uzito wa kilo moja na gramu 320.

Kusoma sura kamili Hesabu 7

Mtazamo Hesabu 7:86 katika mazingira