Hesabu 8:12 BHN

12 Kisha Walawi wataweka mikono yao juu ya vichwa vya fahali hao; mmoja wao utamtoa kuwa sadaka ya kuondoa dhambi, na huyo mwingine utamtoa kuwa sadaka ya kuteketezwa inayotolewa kwangu, ili kuwafanyia upatanisho Walawi.

Kusoma sura kamili Hesabu 8

Mtazamo Hesabu 8:12 katika mazingira