17 Maana wazaliwa wote wa kwanza miongoni mwa Waisraeli ni wangu, wanadamu na wanyama; kwa sababu katika siku nilipowaua wazaliwa wote wa kwanza nchini Misri, niliwaweka wakfu kwangu.
Kusoma sura kamili Hesabu 8
Mtazamo Hesabu 8:17 katika mazingira