Hesabu 8:22 BHN

22 Baada ya hayo Walawi waliingia na kufanya huduma yao katika hema la mkutano chini ya usimamizi wa Aroni na wanawe, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Kusoma sura kamili Hesabu 8

Mtazamo Hesabu 8:22 katika mazingira