Hesabu 8:4 BHN

4 Toka sehemu za juu mpaka chini kinara hicho cha taa kilikuwa kimetengenezwa kwa ustadi mkubwa kwa dhahabu iliyofuliwa kufuatana na mfano ambao Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwonesha Mose.

Kusoma sura kamili Hesabu 8

Mtazamo Hesabu 8:4 katika mazingira