Hesabu 9:19 BHN

19 Hata kama wingu hilo lilikaa juu ya hema kwa muda wa siku nyingi, Waisraeli walimtii Mwenyezi-Mungu, nao hawakuondoka.

Kusoma sura kamili Hesabu 9

Mtazamo Hesabu 9:19 katika mazingira