23 Kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walipiga kambi na kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walisafiri. Walishika agizo la Mwenyezi-Mungu kama alivyotoa amri yake kwa njia ya Mose.
Kusoma sura kamili Hesabu 9
Mtazamo Hesabu 9:23 katika mazingira