Hosea 2:7 BHN

7 Atawafuata wapenzi wake,lakini hatawapata;naam, atawatafuta,lakini hatawaona.Hapo ndipo atakaposema,“Nitarudi kwa mume wangu wa kwanza;maana hapo kwanza nilikuwa nafuu kuliko sasa.”

Kusoma sura kamili Hosea 2

Mtazamo Hosea 2:7 katika mazingira