Hosea 2:8 BHN

8 Hakujua kwamba ni miminiliyempa nafaka, divai na mafuta,niliyemjalia fedha na dhahabu kwa wingi,ambazo alimpelekea Baali.

Kusoma sura kamili Hosea 2

Mtazamo Hosea 2:8 katika mazingira