9 Kwa hiyo wakati wa mavuno nitaichukua nafaka yangu,nitaiondoa divai yangu wakati wake.Nitamnyang'anya nguo zangu za sufu na kitani,ambazo zilitumika kuufunika uchi wake.
Kusoma sura kamili Hosea 2
Mtazamo Hosea 2:9 katika mazingira