Kutoka 10:7 BHN

7 Viongozi wa Farao wakamwuliza, “Je, mtu huyu atatusumbua mpaka lini? Waache watu hawa waende zao wakamtumikie Mwenyezi-Mungu, Mungu wao. Je, hujali kwamba nchi ya Misri inaangamia?”

Kusoma sura kamili Kutoka 10

Mtazamo Kutoka 10:7 katika mazingira