Kutoka 10:8 BHN

8 Hapo, Mose na Aroni wakaitwa warudi kwa Farao, naye akawaambia, “Nendeni mkamtumikie Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Lakini, nauliza: Ni kina nani watakaokwenda pamoja nanyi?”

Kusoma sura kamili Kutoka 10

Mtazamo Kutoka 10:8 katika mazingira