2 Mwenyezi-Mungu hunijalia nguvu na uwezo,yeye mwenyewe ndiye anayeniokoa.Yeye ni Mungu wangu nami nitamsifu,ni Mungu wa baba yangu nami nitamtukuza.
Kusoma sura kamili Kutoka 15
Mtazamo Kutoka 15:2 katika mazingira