4 Kama mnyama aliyeibiwa atapatikana kwa huyo mwizi akiwa hai, basi, mwizi atalipa mara mbili, awe ni ng'ombe, punda au kondoo.
Kusoma sura kamili Kutoka 22
Mtazamo Kutoka 22:4 katika mazingira