Kutoka 22:5 BHN

5 “Mtu akiwalisha wanyama wake katika shamba la mizabibu au kumwachia mnyama wake kula katika shamba la mtu mwingine, atalipa hasara hiyo kwa mazao bora ya shamba lake mwenyewe au shamba lake la mizabibu.

Kusoma sura kamili Kutoka 22

Mtazamo Kutoka 22:5 katika mazingira