Mwanzo 1:28 BHN

28 Mungu akawabariki na kuwaambia, “Zaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki; muwatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kitembeacho duniani.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 1

Mtazamo Mwanzo 1:28 katika mazingira