Mwanzo 1:29 BHN

29 Kisha Mungu akasema, “Tazama, nawapeni kila mmea duniani uzaao mbegu, na kila mti uzaao matunda yenye mbegu; mbegu zao au matunda yao yatakuwa chakula chenu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 1

Mtazamo Mwanzo 1:29 katika mazingira