Mwanzo 1:30 BHN

30 Nao wanyama wote duniani, ndege wote wa angani, viumbe vyote vitambaavyo, naam, kila kiumbe chenye uhai, chakula chao kitakuwa majani yote ya mimea.” Ikawa hivyo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 1

Mtazamo Mwanzo 1:30 katika mazingira