Mwanzo 1:31 BHN

31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya kuwa ni chema kabisa. Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya sita.

Kusoma sura kamili Mwanzo 1

Mtazamo Mwanzo 1:31 katika mazingira