Mwanzo 11:10 BHN

10 Wafuatao ni wazawa wa Shemu. Miaka miwili baada ya ile gharika, Shemu akiwa na umri wa miaka 100, alimzaa Arfaksadi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 11

Mtazamo Mwanzo 11:10 katika mazingira