Mwanzo 11:9 BHN

9 Mji huo ukaitwa Babeli, kwa sababu huko ndiko Mwenyezi-Mungu alikoivuruga lugha ya dunia yote, na kutoka huko akawatawanya watu kila mahali duniani.

Kusoma sura kamili Mwanzo 11

Mtazamo Mwanzo 11:9 katika mazingira