Mwanzo 12:7 BHN

7 Ndipo Mwenyezi-Mungu akamtokea Abramu, akamwambia, “Wazawa wako nitawapa nchi hii.” Basi, Abramu akajenga madhabahu kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu aliyemtokea.

Kusoma sura kamili Mwanzo 12

Mtazamo Mwanzo 12:7 katika mazingira