Mwanzo 12:8 BHN

8 Baadaye Abramu akaondoka, akaelekea mlimani mashariki ya Betheli akapiga hema kati ya mji wa Betheli, upande wa magharibi, na mji wa Ai upande wa mashariki. Hapo pia akamjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu na kumwomba kwa jina lake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 12

Mtazamo Mwanzo 12:8 katika mazingira