Mwanzo 14:16 BHN

16 Basi, Abramu akaikomboa mali yote iliyotekwa na adui, na kumkomboa Loti mpwa wake, mali yake, pamoja na wanawake na watu wengine.

Kusoma sura kamili Mwanzo 14

Mtazamo Mwanzo 14:16 katika mazingira