Mwanzo 14:17 BHN

17 Abramu aliporudi baada ya kumshinda mfalme Kedorlaomeri na wenzake, mfalme wa Sodoma alitoka kwenda kumlaki katika bonde la Shawe, (yaani Bonde la Mfalme).

Kusoma sura kamili Mwanzo 14

Mtazamo Mwanzo 14:17 katika mazingira