Mwanzo 16:4 BHN

4 Abramu akamchukua Hagari, naye Hagari akapata mimba. Lakini mara tu alipoona amepata mimba, Hagari akaanza kumdharau bimkubwa wake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 16

Mtazamo Mwanzo 16:4 katika mazingira