3 Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, mjakazi wake ambaye alikuwa Mmisri, awe mke wake. Haya yalitokea baada ya Abramu kukaa katika nchi ya Kanaani kwa muda wa miaka kumi.
Kusoma sura kamili Mwanzo 16
Mtazamo Mwanzo 16:3 katika mazingira