Mwanzo 16:6 BHN

6 Lakini Abramu akamwambia Sarai, “Mjakazi wako yuko chini ya mamlaka yako; mfanyie upendavyo.” Basi, Sarai akamtesa Hagari mpaka akatoroka.

Kusoma sura kamili Mwanzo 16

Mtazamo Mwanzo 16:6 katika mazingira