Mwanzo 16:7 BHN

7 Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamkuta Hagari penye chemchemi ya maji jangwani, chemchemi iliyoko njiani kuelekea Shuri.

Kusoma sura kamili Mwanzo 16

Mtazamo Mwanzo 16:7 katika mazingira