Mwanzo 16:8 BHN

8 Malaika akamwuliza, “Hagari, mjakazi wa Sarai! Unatoka wapi na unakwenda wapi?” Hagari akamjibu, “Namkimbia bimkubwa wangu Sarai.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 16

Mtazamo Mwanzo 16:8 katika mazingira