Mwanzo 16:9 BHN

9 Yule malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi kwa bimkubwa wako Sarai na umtii.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 16

Mtazamo Mwanzo 16:9 katika mazingira