Mwanzo 17:12 BHN

12 Kila mtoto wa kiume wa siku nane miongoni mwenu ni lazima atahiriwe. Kila mwanamume katika vizazi vyenu, awe mtumwa aliyezaliwa nyumbani mwenu au aliyenunuliwa kwa fedha zenu kutoka kwa mgeni asiye mzawa wako;

Kusoma sura kamili Mwanzo 17

Mtazamo Mwanzo 17:12 katika mazingira