Mwanzo 17:13 BHN

13 naam, kila mmoja wao aliyezaliwa katika nyumba yako na hata aliyenunuliwa kwa fedha zako ni lazima atahiriwe. Hiyo ni alama ya agano langu katika miili yenu, agano la milele.

Kusoma sura kamili Mwanzo 17

Mtazamo Mwanzo 17:13 katika mazingira