Mwanzo 17:16 BHN

16 Nitambariki, naye atakuzalia mtoto wa kiume. Naam, nitambariki Sara, naye atakuwa mama wa mataifa mengi na wafalme wa mataifa watatoka kwake.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 17

Mtazamo Mwanzo 17:16 katika mazingira