Mwanzo 17:17 BHN

17 Hapo Abrahamu akasujudu, akacheka moyoni mwake akiwaza, “Ati, itawezekana kweli mtoto kuzaliwa kwa mzee wa miaka 100? Na je, Sara ambaye umri wake ni miaka tisini, ataweza kupata mtoto?”

Kusoma sura kamili Mwanzo 17

Mtazamo Mwanzo 17:17 katika mazingira