Mwanzo 18:22 BHN

22 Kutoka hapo, wale watu wakashika njia kuelekea Sodoma, lakini Mwenyezi-Mungu akawa amebaki, amesimama pamoja na Abrahamu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 18

Mtazamo Mwanzo 18:22 katika mazingira