Mwanzo 18:23 BHN

23 Basi, Abrahamu akamkaribia Mwenyezi-Mungu, akamwuliza, “Je, kweli utawaangamiza watu wema pamoja na waovu?

Kusoma sura kamili Mwanzo 18

Mtazamo Mwanzo 18:23 katika mazingira