Mwanzo 18:31 BHN

31 Abrahamu akasema, “Nimethubutu kuzungumza na Bwana. Labda watapatikana watu wema ishirini.” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Kwa ajili ya hao ishirini, sitauangamiza.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 18

Mtazamo Mwanzo 18:31 katika mazingira