Mwanzo 18:30 BHN

30 Abrahamu akaongeza kusema, “Ee Bwana, naomba usinikasirikie, nami nitasema tena. Huenda wakapatikana watu wema thelathini.” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Sitafanya hivyo nikiwakuta hao thelathini.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 18

Mtazamo Mwanzo 18:30 katika mazingira