Mwanzo 18:29 BHN

29 Abrahamu akaongeza kusema, “Pengine watu arubaini watapatikana humo.” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Kwa ajili ya watu wema arubaini, sitafanya hivyo.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 18

Mtazamo Mwanzo 18:29 katika mazingira