Mwanzo 18:7 BHN

7 Kisha akatoka haraka akaenda kwenye kundi la ng'ombe, akachagua ndama mmoja mzuri na mnono, akamkabidhi mtumishi ambaye aliharakisha kumchinja na kumpika.

Kusoma sura kamili Mwanzo 18

Mtazamo Mwanzo 18:7 katika mazingira